Monday, August 29, 2016

Video tutorial: The crimped hairstyle

Video tutorial: The crimped hairstyle: Crimped hair is having a moment. Add modernity to this signature ‘80s hairstyle with our video tutorial. You’ll need your trusty crimping iron and some serious cool-girl attitude.

Wednesday, August 3, 2016

Change is a Must

Kutaka kuwa mtu mwingine ni kupoteza utu wako.
Epuka kujilinganisha na mtu yeyote mwingine katika maisha yako, kwani kufanya hivyo ni kama kujitukana wewe mwenyewe.
Kumbuka ulipoubwa na kuja kuzaliwa hukuwa na yeyote yule, hivyo jitahidi kuishi kama wewe kwa kutafuta mafanikio yako binafsi.
Fursa zipo ili kukukomboa kutoka ulipo cha ajabu unabanwa na rafiki, ndg, nk. Tafadhali angalia mambo yako usibaki kutegemea akili ya mtu mwingine, Piga/SMS/WhatsApp +255785076937 sasa na upate fursa nzuri kwa ajili yako.