Saturday, February 18, 2017

Unaweza Hakika

UNAWEZA"..

Siku chache zilizopita nikiwa napitia maandiko kadhaa katika mitandao ya kijamii nilikutana na andiko moja ambalo lilinitia moyo sana na hili ndilo nitakushirikisha..

Mwandishi wa lile andiko alikuwa akitoa salaam zake kwa msiba wa aliyekuwa mchezaji wa Yanga na Taifa stars. Mwandishi yule bila shaka alikuwa anamfahamu yule mchezaji tangu akiwa bado hajacheza ligi ngazi kuu ya taifa na timu ya taifa " taifa stars".

Mchezaji yule bila shaka alisoma shule mojawapo mkoani mbeya Tukuyu Secondary.

Kisa chake anakieleza kama ifuatavyo, "sitasahau siku ile tulipokuwa tumefungwa magoli sita kwa sifuri na wapinzani wetu, wewe ulipoingia ulisawazisha magoli yote na ukaongeza magoli mengine mawili tukatoka na Ushindi wa magoli nane kwa sita. Siku hii si tu alibadirisha matokeo ya mchezo ila alibadirisha hali ya wachezaji wenzake na washabiki. Na anasisitiza Yale magoli yote yalifungwa na wewe.

Inanifanya nikumbuke kile kisa cha mmiliki wa KFC ambaye alistaafu akiwa hajui nini atafanya lakini akiwa na hakika ya umaskini uliokuwa ukimsubiri. Lakini badaye alifanya self analysis " uchambuzi wa uwezo wake" na aligundua jambo moja alilokuwa anaweza kulifanya vizuri zaidi ambalo lilikuwa ni kutengeneza chicken (kuku)aliyeandaliwa kwa ajili ya kuliwa na yeye aliamua kutia bidii hivi Leo tunapozungumzia KFC ni biashara ya kimataifa na alikufa akiwa bilionea... Huyu alibadirisha matokeo....

Yule mwingine anaitwa Od Mandino msemaji na mwandishi mashuhuri wa kimarekani. Baada ya kutoka kupigana vita ya kwanza ya dunia alirudi nyumbani na aliamua kufanya kazi ya kuuza Bima lakini maisha yalikuwa magumu na akiwa amefilisika hakujuwa afanye nini badala yake akawa mlezi wa kupindukia. Siku moja akiwa njiani kurudi nyumbani aliona tangazo la bunduki iliyokuwa inauzwa kwa dola 29 na yeye mfukoni alikuwa na dola 30 tu "alifikiri kama nikinunua bunduki nitabakiwa na dola 1 inayotosha kununua risasi na nitaweza kujiua ili niepuke fadhaa hii....lakini haikutokea kabla ya kuamua aliona mbele kulikuwa na maktaba na alivutiwa kuingia na kusoma,badaye aliazimia kuwa na ratiba za Mara kwa Mara kwenda hapo na kusoma. Siku moja alikutana na kitabu kilichokuwa kimeandikwa na Napoleon na  Clement, kilichokuwa kinazungumzia namna jinsi unaweza kufanikiwa....

Baada ya kusoma kile kitabu alidhamiria kwenda kufanya kazi ya kuuza Bima chini ya MTU mwingine na Mara alianza kuuza kwa mafanikio na baada ya muda aliandika kitabu cha kwanza ambacho kiliuza zaidi ya nakala 10,000,000 kilikuwa kimetafsiriwa zaidi ya lugha 5 duniani kwote.

Huyu pia aliweza kubadilisha matokeo....

Wewe pia unaweza!! Ukidhamiria kwa udhati na ukania kuthubutu na ukathubutu unaweza!!

Unaweza kubadilisha matokeo kuanzia Leo kama utakuwa unajua safari yako utokako, unakoenda na mbinu muhimu za kutanua, kuwa mwanafunzi wa wewe mwenyewe utapata kuwa mwalimu wa matokeo mazuri, daima usisumbue na historia yako ya utokako, bali anza kutafuta mabadiliko ya maisha yako leo.

Kuwa na Jumapili yenye mawazo chanya, yatakayo badilisa fikra zako milele.
Hakika unaweza na utafanikiwa zaidi ya vile ufikirivyo.

Karibu jiunge nami kubadilisha maisha yako leo kupitia Oriflame, Piga/SMS/WhatsApp 0785076937 au 0652211067 sasa.

Thursday, February 2, 2017

Get Outside The Box NOW

Wengi wetu twataka mabadiliko lakini shida ni moja kwamba hatutaki kubadili mtazamo tulionao na kile tufanyacho kila siku.  Kama ulipokuwa mtoto usingebadili kule kukaa sehemu moja na kutambaa pamoja na mambo mengine yote uliyoyafanya kipindi hicho, hakika mpaka leo ungekuwa katika hatua ngumu sana ya maisha. Lakini kwa kuwa ulikubali kufanya mabadiliko leo uko hapo ulipo.

Sasa nini kinakupa ugumu kutoka katika hatua uliyo nayo na kufanya vitu vya kawaida na kukupeleka kwenye kufanya vile vitu visivyo vya kawaida? Maana yake yale mambo ambayo yawezekana kabisa hata mzazi wako hakuwahi kufikiria.

Jua kwamba ulipoumbwa uliumbwa ukiwa na uwezo mkubwa mno (unique abilities), sasa kwa sababu twapenda kujidumaza hata uwezo wa kufikiria unashuka na mwisho wa siku unakufa. Na hii ndiyo sababu wengi wetu tutakuja kufa na ndoto zetu pasipo hata kuthubutu kuzitimiza. Je, ungependa kufa hivyo? Na je, uko tayari kuona hata watoto wako wanabaki pasipo alama yoyote ya urithi kutoka kwako?

Ni wakati wa wewe kufanya mambo makubwa ili uweze kupata matokeo makubwa na yatofauti na kile umekizoea na ikiwezekana kushangaza jamii inayo kuzunguka. Hakuna ushirikina wala miujiza, bali ni kwa kutumia mfumo ambao umebadili maisha ya wengi na kuwafikisha mahali wanajiona kuwa nao ni watu katika jamii. Bila kujali elimu yako, ujuzi wako , wala historia uliyo nayo ya maisha.

Jiunge nami leo kwa Kupiga/SMS/WhatsApp 0785076937 au 0652211067 sasa na nikukutanishe na fursa itakubadilisha maisha yako.

2017Shining_Year
Be_Unstoppable

Director Mponda A. N.

Part_time_business.

Kwa jina naitwa Aginiwe Mponda Natumalili, Kikazi ni mwalimu nipo wilaya ya Rungwe Tukuyu.
Kwa Oriflame ni Director, nilianza hii biashara mwaka 2014/09/15. Biashara hii nilifahamishwa na dada yangu yupo SINGIDA yeye ni banker, alinifahamisha mwaka 2014 wakati nipo chuo mwaka wa mwisho.

Kiukweli sikuweza kumwelewa mwanzoni kuhusu hii business kwani niliona imekaa kike sana. Najua alinifahamisha hii business kuna kitu aliona,kwani kipindi hicho nilikua namsumbua sana kuhusu kuniunganishia kazi za bank,nilikua naona ni kazi unazopata kipato kikubwa ukilinganisha na ualimu 😜

Nikaonana nikamwachia kitabu kesho yake kwenda akanipa oda ya bidhaa za laki unusu. Hapo ndipo nilipofunguka kuwa kumbe inawezekana, nilipofanya oda nikajiongeza nikanunua catalogues na kuanza kushow catalogue. Nilikuwa napata oda hadi za laki sita na nikawa nafika 6% team ya mtu mmoja kwani nili base sana on selling...

Dada Diana alipoona sina team na nafika 6% strong hadi ya Bp 800 akaniambia anaunda group la watsap training niingize watu anifundishie ili nianze kuwa na team. Basi nikaanza tengeneza team ila watu walikuwa wagumu kwelikweli, alichokuwa akinihimiza nikuto ongea na watu walewale nikuongea na watu wapya kila siku. Kwa kipindi kile ukitaka dada diana aje kukufundishia watu wako ilikuwa uwe na watu saba tu (7) 😂😂😂😂. Sikuhizi hao saba unaleta mchezo.

Basi nilipata support pia yakutosha toka kwa upliner wangu NSAJIGWA(BABU) kwa kunielekeza mambo mengi sana juu ya growth... Mwaka jana mwanzoni nilifika manager level1, ila nilijiwekea mikakati nisipokuwa director 2016 naacha hii business hivyo nikaweka nguvu kufundisha na kuingiza watu wapya. Ambapo katika team yangu direct kwangu alikuwepo mke wangu ambapo team yake ilikuwa ikifanya vizuri sana. Mungu mwema mwaka jana mwezi wa sita(6) nikafika Senior Manager.

Lakini upande wa mke wangu downliner wake alikua akifanya vizuri sana kiasi kwamba akawa anakosa separation na hiyo ikaleta balaa hadi kwangu. Hivyo mwaka jana mwezi wa saba(7) nikashauriwa na dada dianarose niunganishe consultant namba tuwe team moja ili tufanye business ya familia. Nikafanya hivyo nikapata team ambayo ipo strong kwani mwezi wa saba huo sikuweza maintain ila baada ya joining ya team nikaweza kumaintain mpaka kuwa director. Ndiyo maana kwenye picha ya recognition unaona tupo wawili ni sababu ya kuweka team moja.

Naipenda sana Oriflame na kwasasa hanishauri mtu biashara nyingine kwani naona my bright future ndani ya Oriflame. Nilikuwa nasomesha watoto wangu shule za kawaida ila kwasasa wote wapo standard medium schools. Nilikuwa naishiwa pesa za matumizi mpaka kipindi nakopa kwa, ndugu zangu but kwasasa mimi ndiyo nawapa pesa ndugu zangu wakiishiwa. Nimeanza kula, hata kuvaa vile nnavyopenda yote hii ni Oriflame.

So kama unataka pesa jitume kuna pesa nyingi tu Oriflame ni vile wewe unataka upate kiasi gani kwa mwezi au kwa mwaka. Yaani oriflame inanipelekea kuanza kuishi yale maisha niyatakayo kabisa...

Nilikuwa na ndoto za kawaida kabla but kwasasa nisikufiche ndoto zangu zimebadilika kabisa...😀😀😀
Siwazi ndoto za kawaida nawaza mambo makubwa sana ila hii yote ni kwasababu Oriflame is REAL.

Natumaini kwa namna moja ama nyingine umehamasika na historia hii ya Kaka A. N. Mponda, tafadhali ni wakati wako pia leo hii kujiunga pamoja nami ili kupata kufikia kuishi maisha ya ndoto zako.

Piga/SMS/WhatsApp 0785076937 au 0652211067 sasa upate kujiunga pamoja nami kwa TShs120000/ tu na upate kufundishwa pia namna unafikia malengo yako!!!

2017Shining_Year
Be_Unstoppable