Wengi wetu twataka mabadiliko lakini shida ni moja kwamba hatutaki kubadili mtazamo tulionao na kile tufanyacho kila siku. Kama ulipokuwa mtoto usingebadili kule kukaa sehemu moja na kutambaa pamoja na mambo mengine yote uliyoyafanya kipindi hicho, hakika mpaka leo ungekuwa katika hatua ngumu sana ya maisha. Lakini kwa kuwa ulikubali kufanya mabadiliko leo uko hapo ulipo.
Sasa nini kinakupa ugumu kutoka katika hatua uliyo nayo na kufanya vitu vya kawaida na kukupeleka kwenye kufanya vile vitu visivyo vya kawaida? Maana yake yale mambo ambayo yawezekana kabisa hata mzazi wako hakuwahi kufikiria.
Jua kwamba ulipoumbwa uliumbwa ukiwa na uwezo mkubwa mno (unique abilities), sasa kwa sababu twapenda kujidumaza hata uwezo wa kufikiria unashuka na mwisho wa siku unakufa. Na hii ndiyo sababu wengi wetu tutakuja kufa na ndoto zetu pasipo hata kuthubutu kuzitimiza. Je, ungependa kufa hivyo? Na je, uko tayari kuona hata watoto wako wanabaki pasipo alama yoyote ya urithi kutoka kwako?
Ni wakati wa wewe kufanya mambo makubwa ili uweze kupata matokeo makubwa na yatofauti na kile umekizoea na ikiwezekana kushangaza jamii inayo kuzunguka. Hakuna ushirikina wala miujiza, bali ni kwa kutumia mfumo ambao umebadili maisha ya wengi na kuwafikisha mahali wanajiona kuwa nao ni watu katika jamii. Bila kujali elimu yako, ujuzi wako , wala historia uliyo nayo ya maisha.
Jiunge nami leo kwa Kupiga/SMS/WhatsApp 0785076937 au 0652211067 sasa na nikukutanishe na fursa itakubadilisha maisha yako.
2017Shining_Year
Be_Unstoppable
No comments:
Post a Comment