Tuesday, March 14, 2017

Safari Za Bure/Kufurahia Maisha

Ilikuwa siku ya Jumamosi ambapo ratiba zingine za siku zilisimama na baada ya hapo tulikutana katika ukumbi wa SAUT - {St. Augustine University of Tanzania} kampasi ya Mbeya na tukawa na wakati huu mzuri wa kuweza kushirikishana yale mazuri yote ambayo "Members" wakongwe (viongozi) wamefanikiwa kupata na sasa wanaishi maisha ya ndoto zao. Kama Director Friedah ambaye yeye kasafiri nchi sita (6) bure na Oriflame na Jessica yeye kasafiri na Oriflame nchi Kumi na mbili (12) bure.
Hii ni fursa ambayo wewe hutakiwi kuikosa kabisa kwani waweza fikia hatua ukazichoka safari kwa uwingi, labda ukazifurahia kwa kuwa utakuwa unakutana na marafiki wengi wapya katika sehemu nzuri na zenye kupendeza bure kabisa.
Hebu angalia kwa umakini na sikiliza video hiyo na share na wengine. Tafadhali usisahau kusubscribe channel hii.

No comments:

Post a Comment