Thursday, February 2, 2017

Director Mponda A. N.

Part_time_business.

Kwa jina naitwa Aginiwe Mponda Natumalili, Kikazi ni mwalimu nipo wilaya ya Rungwe Tukuyu.
Kwa Oriflame ni Director, nilianza hii biashara mwaka 2014/09/15. Biashara hii nilifahamishwa na dada yangu yupo SINGIDA yeye ni banker, alinifahamisha mwaka 2014 wakati nipo chuo mwaka wa mwisho.

Kiukweli sikuweza kumwelewa mwanzoni kuhusu hii business kwani niliona imekaa kike sana. Najua alinifahamisha hii business kuna kitu aliona,kwani kipindi hicho nilikua namsumbua sana kuhusu kuniunganishia kazi za bank,nilikua naona ni kazi unazopata kipato kikubwa ukilinganisha na ualimu 😜

Nikaonana nikamwachia kitabu kesho yake kwenda akanipa oda ya bidhaa za laki unusu. Hapo ndipo nilipofunguka kuwa kumbe inawezekana, nilipofanya oda nikajiongeza nikanunua catalogues na kuanza kushow catalogue. Nilikuwa napata oda hadi za laki sita na nikawa nafika 6% team ya mtu mmoja kwani nili base sana on selling...

Dada Diana alipoona sina team na nafika 6% strong hadi ya Bp 800 akaniambia anaunda group la watsap training niingize watu anifundishie ili nianze kuwa na team. Basi nikaanza tengeneza team ila watu walikuwa wagumu kwelikweli, alichokuwa akinihimiza nikuto ongea na watu walewale nikuongea na watu wapya kila siku. Kwa kipindi kile ukitaka dada diana aje kukufundishia watu wako ilikuwa uwe na watu saba tu (7) 😂😂😂😂. Sikuhizi hao saba unaleta mchezo.

Basi nilipata support pia yakutosha toka kwa upliner wangu NSAJIGWA(BABU) kwa kunielekeza mambo mengi sana juu ya growth... Mwaka jana mwanzoni nilifika manager level1, ila nilijiwekea mikakati nisipokuwa director 2016 naacha hii business hivyo nikaweka nguvu kufundisha na kuingiza watu wapya. Ambapo katika team yangu direct kwangu alikuwepo mke wangu ambapo team yake ilikuwa ikifanya vizuri sana. Mungu mwema mwaka jana mwezi wa sita(6) nikafika Senior Manager.

Lakini upande wa mke wangu downliner wake alikua akifanya vizuri sana kiasi kwamba akawa anakosa separation na hiyo ikaleta balaa hadi kwangu. Hivyo mwaka jana mwezi wa saba(7) nikashauriwa na dada dianarose niunganishe consultant namba tuwe team moja ili tufanye business ya familia. Nikafanya hivyo nikapata team ambayo ipo strong kwani mwezi wa saba huo sikuweza maintain ila baada ya joining ya team nikaweza kumaintain mpaka kuwa director. Ndiyo maana kwenye picha ya recognition unaona tupo wawili ni sababu ya kuweka team moja.

Naipenda sana Oriflame na kwasasa hanishauri mtu biashara nyingine kwani naona my bright future ndani ya Oriflame. Nilikuwa nasomesha watoto wangu shule za kawaida ila kwasasa wote wapo standard medium schools. Nilikuwa naishiwa pesa za matumizi mpaka kipindi nakopa kwa, ndugu zangu but kwasasa mimi ndiyo nawapa pesa ndugu zangu wakiishiwa. Nimeanza kula, hata kuvaa vile nnavyopenda yote hii ni Oriflame.

So kama unataka pesa jitume kuna pesa nyingi tu Oriflame ni vile wewe unataka upate kiasi gani kwa mwezi au kwa mwaka. Yaani oriflame inanipelekea kuanza kuishi yale maisha niyatakayo kabisa...

Nilikuwa na ndoto za kawaida kabla but kwasasa nisikufiche ndoto zangu zimebadilika kabisa...😀😀😀
Siwazi ndoto za kawaida nawaza mambo makubwa sana ila hii yote ni kwasababu Oriflame is REAL.

Natumaini kwa namna moja ama nyingine umehamasika na historia hii ya Kaka A. N. Mponda, tafadhali ni wakati wako pia leo hii kujiunga pamoja nami ili kupata kufikia kuishi maisha ya ndoto zako.

Piga/SMS/WhatsApp 0785076937 au 0652211067 sasa upate kujiunga pamoja nami kwa TShs120000/ tu na upate kufundishwa pia namna unafikia malengo yako!!!

2017Shining_Year
Be_Unstoppable

No comments:

Post a Comment